JINSI YA KUFANYA MAPENZI BILA KINGA NA BILA KUMPA MIMBA MWENZIO


1.Lazima mkeo afahamu mzunguko wake wa mwezi vizuri

2.akianza hedhi anza kuhesabu ndo siku ya kwanz kwenye mzunguko wake

3. hedhi mara nyingi ni siku 2,3,au 4, so akimaliza,mduu maka siku ya 11

4.siku ya 12 hadi ya 17 msiduu anaweza pata ujauzito

5.siku ya 18 hadi 24 hakuna shida

6.siku ya25 mpaka apate hedhi na kuisha msiduu

NB:mabadiliko huweza kutokea kutokana na ulaji wa vyakula,kubadilisha mazingira na mara nyingine kuwa na mawazo mengi so mkeo anataiwa kuwa makini na mzunguko wake endapo utabadilika

penye red usifanye AFU penye bluu unaweza fanya,,,,mfano wa mzunguko wa mwanamke mwenye siku28

1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »